HabariMilele FmSwahili

Naibu rais Ruto afanya mkao na viongozi wa kaunti za Bungoma na Trans Nzoia

Naibu wa rais William Ruto amefanya mkao na viongozi kutoka kaunti ya Bungoma na ile ya Trans Nzoia ambapo wameangazia maendeleo ya kaunti hizo. Kwenye mkao huo Ruto amesisitiza kujitolea kwa serikali katika kuimarisha miundo msingi kwenye kaunti hizo. Ameahidi kuboreshwa kwa hospitali za Sirisia huko Bungoma na Ndalu. Naibu wa rais ameafikiana na viongozi hao kuwa ajenda za kaunti husika zitaambatana na nguzo nne muhimu za serikali maarufu kama big 4.

Show More

Related Articles