HabariPilipili FmPilipili FM News

Usalama Umeimarishwa Msimu Wa Pasaka Asema Achoki.

Kamishna wa kaunti ya mombasa Evans Achoki  amewahakikishia wenyeji na wageni usalama wa kutosha msimu huu wa sherehe za pasaka.

Achoki anasema maafisa wa polisi watashika doria katika  maeneo yote ya uma ikiwemo fukwe za bahari na hata makanisa ili kuthibiti hali zinazoweza kutatiza usalama.

Amewataka wanaopanga kufanya sherehe msimu huu kuwafahamisha polisi na mapema, ili waweze kupewa ulinzi wa kutosha.

Show More

Related Articles