HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta aelekea Msumbiji kwa ziara ya siku nne

Rais Kenyatta amesafiri kuelekea nchini Msumbiji kwa ziara ya siku nne. Ziara hiyo inatarajiwa kuimarisha uhusiano wa kibiashara baina ya Kenya na msumbuji. Kwa mujibu wa balozi wa maswala ya kigeni balozi Monica Juma ziara ya rais pia itatumia kuimarisha uhusiano wa mataifa yote mawili katika sekta ya uchukuzi na utamaduni.

Show More

Related Articles