HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wenyeji Kondele waandamana, wamtaka Rais aingilie kati kesi ya Miguna

Rais Uhuru Kenyatta ametakiwa kuingilia kati na kuhakikisha mwanaharakati miguna miguna anaachilwia huru.
Wito huu umetolewa huku tishio la maandamano likitolewa na mawakili wa miguna endapo hataachiliwa huru.
Tayari maandamano yameshuhudiwa mjini kisumu hiileo, vijana wakitaka miguna aruhusiwe kuingia nchini.

Show More

Related Articles