HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mvulana wa miaka 10 anayedhihirisha heshima sio utumwa,Nakuru

Mama ni mama japo rukwama. Kutana na kijana mmoja kwa jina Kevin Momanyi mwenye umri wa miaka 10 hivi, ambaye amejitwika jukumu la kumsafirisha mamake, hadi eneo lake, la kazi, akitumia kiti cha walemavu kabla ya kueleeka shuleni.
Momanyi, amekuwa akiifanya kazi hiyo ili kumuwezesha mamake Irene Monare, kuisaka riziki kwenye kiosk angalau wapate riziki.
Ajabu huwa ni kiarua hata kulipa kodi ya nyumba kwao, na basi humbidi Momanyi kujiwika kufanya kazi za kufagia mtaani mwao, ili kugharamia kodi.

Show More

Related Articles