HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Zaidi ya familia 600 zimesalia bila makao kufuatia zogo la ardhi

Zaidi ya familia mia sita katika kaunti ya Trans nzoia wamesalia bila makao baada ya mzozo wa ardhi kuibuka mipakani mwa kaunti ya Pokot magharibi,Turkana na kaunti ya Trans nzoia.

Mzozo huo umepelekea watu hao wanaopigania ardhi iliyo eneo la Chepkoima kuhama huku wengi wakiuguza majeraha mabaya kutokana na vita ambavyo vimedumu kwa muda mrefu.

Show More

Related Articles