HabariMilele FmSwahili

Watu 2 wajeruhiwa baada ya ndege ndogo kuanguka Taita Taveta

Watu 2 wanauguza majeraha mabaya baada ya kuanguka kwa ndege moja ndogo katika eneo la Kama Ngombe wadi ya Wusikishamba huko Taita Taveta. Ndege hiyo inamilikiwa na jeshi la angani.

Show More

Related Articles