HabariMilele FmSwahili

Wabung wa Ford Kenya na ANC kukamilisha mipango ya kubuni muungano wa kisiasa

Wabunge wa Ford Kenya na ANC wanakamilisha mipango ya kubuni muungano wao wa kisiasa. Dr Eseli Simiyu mbunge wa Tongaren anasema muungano huo utahakikisha maslahi ya wenyeji wa magharibi na Kenya nzima yanaagaziwa haswa baada ya kusalitiwa na wenzao wa ODM. Wabunge hao wamesema Raila Odinga amekosa kuhakikisha wanapewa nafasi sawa na wenzao wa ODM katika muungano wa NASA
Kuhusiana na baadhi ya wabunge wa ANC wanaomkosoa kinara wao Musalia Mudavadi,mbunge wa Lugari Ayub Savula anasema hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao hivi karibuni.

Show More

Related Articles