HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta kuongoza hafla ya kufuzu makurutu wa wapya wa GSU

Rais Uhuru Kenyatta ataongoza hafla ya kufuzu makurutu wapya wa polisi wa GSU leo. Hafla hiyo itaandaliwa katika chuo cha mafunzo ya GSU mtaani Embakasi. Takribani makurutu 2000 watafuzu katika hafla hiyo.

Show More

Related Articles