HabariMilele FmSwahili

Pombe haramu yenye thamani ya zaidi ya milioni moja yanaswa Ruiru kaunti ya Kiambu

Pombe haramu zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja zimenaswa kufuatia msako ulioendeshwa na askari wa kaunti ya Kiambu huko Ruiru. Jumla ya katoni 20 za pombe hiyo zilinaswa katika baa na maeneo kadhaa ya burudani. Maafisa wanasema pombe hizo zilikuwa zimepakiwa kinyume na sheria za vileo. Washukiwa kadhaa wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Ruiru.

Show More

Related Articles