HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Takwimu za ufisadi : Murang’a na Wizara ya mambo ya Ndani yaongoza

Wizara ya usalama wa taifa inayoongozwa na waziri Fred Matiang’i imeorodheshwa kama wizara fisadi zaidi baina ya wizara huku kaunti ya murang’a chini ya gavana mwangi wa iria ikiorodheshwa kuwa fisadi zaidi miongoni mwa kaunti 47.
Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi eacc iliyotolewa leo na mwenyekiti wake askofu mkuu mstaafu Eliud Wabukhala.
Aidha kaunti ya Lamu ndio iliyo na kiwango cha chini cha ufisadi huku serikali kuu pia ikifanikiwa kupunguza ufisadi kwa asilimia 10.

Kama anavyoripoti Angela Cheror EACC sasa inataka sheria za kuwakabili watu fisadi kufanyiwa mabadiliko ili wahusika wakabiliwe vilivyo.

Show More

Related Articles