HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Edith Nyenze aibuka mshindi wa uchaguzi mdogo wa ubunge

Edith Nyenze ndiye mbunge mteule wa eneo bunge la kitui maghaeibi baada ya kuzoa kura 14,372 dhidi ya jumla ya elfu tano ya wapinzani wake wanne.

Bi Nyenze sasa anasema kibarua chake cha kwanza kitakuwa ni kuwaunganisha wenyeji pale atakapoapishwa

Aidha ametoa changamoto kwa wanawake kujitokeza kuwania nyadhifa mbalimbali bila uoga.

Show More

Related Articles