HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa : Philip Adamba, mkaazi wa Uasin Gishu aliyetengeneza simu ya 2G

Tangu kuvumbuliwa kwa simu ya rununu, maisha yamekuwa tofuati.
Je wakumbuka ilivyokuwa vigumu, kupanga jinsi ya kukutana na rafiki yako siku fulani?
Katika kaunti ya Uasin Gishu, kutana na kijana, kwa jina Philip Adamba, ambaye japo alifanikiwa kufika kitado cha nne tu, ametengeneza simu ya rununu, inayotumia mtandao wa 2G.
Huyu hapa Joab Mwaura, na maelezo zaidi kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii.

Show More

Related Articles