HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mama amchoma mwanawe wa miaka 10 akidai alimwibia Sh 100

Mwanafunzi mwenye umri wa miaka kumi kutoka kijiji cha Ichuga mjini Nanyuki kaunti ya Laikipia anaendelea kuuguza majeraha ya moto baada ya mamake mzazi kupanga kumwangamiza kwa madai alikuwa amemwibia shilingi mia moja.
Inasemekana kuwa mwanamke huyo alimmwagia mafuta taa kisha mwanaye na kisha kumwasha moto.

Show More

Related Articles