HabariMilele FmSwahili

Ujenzi wa bwawa la Thwake kaunti ya Makueni waanza

Ujenzi wa bwawa la Thwake huko Makueni kwa kima cha shilingi bilioni 36 umeanza. Katibu katika wizara ya maji prfo Fred Sigor anasema ujenzi wa bwawa hilo lenye urefu wa mita 77 utakamilika baada ya miaka 4 unusu. Anasema awamu ya pili itakayoanza mwaka 2023 itakuwa ya ujenzi wa mradi wa kusambaza umeme maeneo tofauti ya nchi. Sigor amewahakikisha wenyeji 189 ambao hawajafidiwa baada ya ardhi zao kutumika kuwa watapokea fedha zao katika muda wa miezi 5 ijayo.

Show More

Related Articles