HabariMilele FmSwahili

Noordin Mohammed Haji aidhinishwa kuhudumu kama mkurugenzi wa mashtaka ya umma

Noordin Mohammed Haji ameidhinsiwha na kamati ya bunge kuhusu haki na sheria kuhudumu kama mkurugenzi wa mashtaka ya umma. Wakati wa mahojiano hapo jana Haji alisema kuwa iwapo atapewa nafasi hiyo atatekeleza majukumu yake bila mapendeleo. Mojawapo ya mikakati yake ni kubalishwa kwa viongozi wa mashtaka wanaoshughulikia kesi za watu mashuhuri nchini.

Show More

Related Articles