HabariPilipili FmPilipili FM News

Edith Nyenze Ndiye Mbunge Mteule Wa Kitui Magharibi.

Edith Nyenze ndiye mshindi wa uchaguzi mdogo wa kitui magharibi ulioandaliwa hapo jana.

Edith Nyenze ambaye ni majne wa marehemu Francis Nyenze aliyekuwa mbunge wa eneo hilo, aliibuka mshindi kwa kura 14,342, huku Kura zote zilizopigwa ikiwa ni elfu 19,776.

Wapili ni mgombea  huru Denis Muli akiwa na kura 2,046.

Tayari Nyenze amekabithiwa cheti chake cha ushindi na tume ya IEBC.

Show More

Related Articles