HabariSwahili

Wavulana 5 wakamatwa kwenye bweni la shule ya wasichana,Bungoma

Wanafunzi watano wa kiume  walitiwa mbaroni na polisi katika  kaunti ya  Bungoma, baada ya kupatikana wakiwa kwenye bafu za wanafunzi wa shule  jirani ya wasichana.
Washukiwa wanasemekana  kuingia kwenye shule hiyo kisiri pale wasichana walikuwa wakigoma , na ni maafisa wa polisi  waliogundua kuwepo kwao walipofika kwenye shule hiyo kukomesha ghasia wa wanafunzi wasichana.

Show More

Related Articles