HabariSwahili

Yesu wa Tongaren : Mkaazi anayejitambulisha kama ‘Yesu’ wa kanisa la New Jerusalem

Kutana na kundi la waabudu wa kanisa la New Jerusalem, wanaoamini kuwa Yesu anaishi pamoja nao.
Ajabu,yesu huyu ana mke na watoto saba, ambao wana majina ya malaika na mitume.

Show More

Related Articles