HabariPilipili FmPilipili FM News

Gertrude Mbeyu Ahimiza Umoja Wa Viongozi Wa Pwani

Mwakilishi wa kinamamam kaunti ya kilifi  Gertrude Mbeyu amewataka viongozi kutoka kaunti hiyo  na pwani kwa ujumla kuungama pamoja kwa  niaba ya wakazi wote wa pwani.

Mbeyu anasema umoja wa viongozi utahakikisha eneo hili limefikia malengo yeke ya kuwaenua wananchi, kutoka kwa lindi la umaskini, kutoa elimu bora na kutatua matatizo sugu yanayowakabili wapwani.

Show More

Related Articles