HabariPilipili FmPilipili FM News

TAVEVO Yahimizwa Kutatua Swala La Uhaba Wa Maji Taita.

Idara ya maji na usafi kaunti ya Taita Taveta TAVEVO, imetakiwa kufanya hima kuhakikisha tatizo la uhaba wa maji linalowakabili wananchi linatatuliwa katika kaunti hiyo.

Gavana wa kaunti hiyo Granton Samboja ameitaka idara hiyo kuwajibika ipasavyo la sivyo italazimika kuvunjwa na jukumu lake lipewe kampuni nyingine.

Show More

Related Articles