HabariPilipili FmPilipili FM News

Noordin Haji Ahojiwa Na Kamati Ya Bunge Kuhusu Haki

Kamati ya bunge kuhusu haki na sheria leo inamhoji Noordin Hajj aliyeteuliwa kuchukua wadhfa wa mkurugenzi wa mashtaka ya umma.Akijitetea mbele ya kamati hiyo Hajj ameahidi kuwahudumia wakenya wote kwa njia wazi na huru.

Kamati hiyo pia inatarajiwa kuwahoji makatibu wakuu watano John Morangi, Alfred Cheruiyot, Jerome Ochieng, Harry Kimtai na Susan Koech.

Show More

Related Articles