HabariMilele FmSwahili

Seneta Gideon Moi ataka bunge kuidhinisha hoja ya kubuniwa wadhifa wa waziri mkuu

Seneta wa Baringo Gideon Moi amelitaka bunge kuidhinisha hoja ya mbunge wa Tiaty William Kamket kuhusu mageuzi ya katiba ili kubuni wadhifa wa waziri mkuu mwenye mamlaka. Seneta Moi anasema hoja hiyo iwapo iaidhinishwa kuwa sheria itafanikisha juhudi za kuliunganisha taifa. Akizungumza eneo la Kabarnet Baringo seneta Moi amesema mswada huo pia utaleta suluhu kwa migawanyiko ya kikabila ambayo hushuhudiwa kila mwaka wa uchaguzi.

Show More

Related Articles