HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mkataba wa kumaliza uhasama wa kaunti 4 wagonga mwamba

Wabunge na wawakilishi wa wadi kutoka kaunti nne za Laikipia, Baringo, Samburu na Isiolo hii leo wamedinda kutia saini mkataba wa makubaliano ya kumaliza uhasama miongoni mwa wenyeji wa kaunti hizo wakidai kuwa hawakuhusishwa katika kufanya maamuzi hayo.
Magavana wa Baringo na Laikipia waliokuwa miongoni mwa viongozi waliokuwepo wamesisitiza kuwa watafanya juu chini kufanikisha mkataba huo ili kuleta uwiano wa kijamii.

Show More

Related Articles