HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu : Mwanafunzi wa miaka 9 aliye na kipaji cha uchoraji,Kwale

Uchoraji ni mojawapo ya sanaa ambayo inaendelea kukita
mizizi hapa nchini huku wengi wakijitosa kwenye sanaa hii.
Kwenye makala ya Ari na Ukakamavu wiki hii ,mwanahabari wetu Kimani Githuku alizuru kaunti ya Kwale ambapo alijiunga naye Sheila Sheldone.
Mwanafunzi wa umri wa miaka 9 ambaye ustadi wake kwenye sanaa hii umewavutia wengi.

Show More

Related Articles