HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mbunge Walukhe wa Sirisia na Naibu Gavana wa Bungoma wapigana

Viongozi wawili kutoka kaunti ya Bungoma leo wamepigana makonde katika hafla moja ambayo ajenda kuu ilikuwa kufanya kiwanda cha sukari cha Nzoia kuwa cha binafsi.
Naibu gavana wa Bungoma Chales Ng’ome na mbunge wa Sirisia John Walukhe waliamua kutiana nguvuni baada ya kurushiana cheche za maneno.

Show More

Related Articles