HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Kenyatta ahakikishia kikosi kuwa serikali itaangazia maslahi yao

Rais Uhuru Kenyatta amejitenga na mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na mishaara ya maafisa wa polisi na badala yake amesema kuwa atahakikisha kuwa maafisa wa polisi wanapata mazingira bora ya kufanyia kazi huku akishikilia kuwa kenya imeimarisha usalama wake hata katika kupambana na kero la ugaidi
Hayo yakijiri naibu rais William Ruto amewaonya maafisa wa serikali watakaopatikana wakichochea wakenya.
Kama anavyoarifu Daniel Kariuki rais Uhuru Kenyatta alizungumza katika hafla ya kufuzu kwa makurutu wa chuo cha mafunzo cha kiganjo naye ruto alikuwa eneo la Pokot.

Show More

Related Articles