HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

KNUT yatishia mgomo kwa madai kuwa TSC inawadhalilisha

Muungano wa walimu nchini KNUT umetishia kuitisha mgomo wa walimu iwapo mazungumzo yake na tume ya kuajiri walimu nchini TSC kuhusiana na maslahi ya walimu hayatafua dafu.
Muungano huo umekashifu tume hiyo kwa kile unachosema ni dhuluma kwa walimu wa humu nchini.

Show More

Related Articles