HabariPilipili FmPilipili FM News

Walioathirika Na Mafuriko Wapokea Chakula Cha Msaada.

Wamalwa aidha  amesema serikali kuu hivi karibuni itaanzisha mradi wa maji wa Mzima 2 kuhakikisha wakaazi wa ukanda wa pwani wanapata maji ya kutosha.

Familia ambazo zimeathirika na mafuriko katika kaunti ya Taita Taveta hususan eneo bunge la Taveta zitapokea chakula cha msaada kutoka serikali ya kitaifa.

Haya yamesemwa na waziri wa ugatuzi na miundo misingi Eugine wamalwa katika ofisi ya gavana akiwa katika zoezi la kutoa chakula cha msaada ukanda wa pwani katika azma ya kupunguza makali ya njaa.

Wamalwa aidha  amesema serikali kuu hivi karibuni itaanzisha mradi wa maji wa Mzima 2 kuhakikisha wakaazi wa ukanda wa pwani wanapata maji ya kutosha.

Wakati uo huo amelipongeza bunge la kitaifa na lile la seneti kwa kupitisha mswada wa kuunga mkono maridhiano na ushirikiano wa Rais Kenyatta na kinara wa upinzani Raila Odinga.

Show More

Related Articles