HabariMilele FmSwahili

Rais atetea mikakati iliyowekwa na serikali kupiga jeki utendakazi wa polisi

Rais Uhuru Kenyatta ametetea mikakati iliyowekwa na serikali kupiga jeki utendakazi wa polisi. Akizungumza katika chuo cha mafunzo ya polisi cha Kiganjo kaunti ya Nyeri, rais amesema changamoto kadhaa zilizosalia kuhusu makaazi bora kwa maafisa wa polisi na mishahara itaangaziwa.

Show More

Related Articles