HabariPilipili FmPilipili FM News

KNUT Yazidi Kuhimzwa Kuwahamisha Walimu Wanao Hudumu Magharibi Mwa Nchi.

KNUT Yazidi Kuhimzwa Kuwahamisha Walimu Wanao Hudumu Magharibi Mwa Nchi.

Shinikizo zinaendelea kutolewa kwa wizara ya elimu kuwahamisha walimu wanaohudumu katika kaunti za Mandera, Garisa na Wajir , kutokana na changamoto za kiusalama katika kaunti hizo.

Omboko Milemba ambaye ni mwenyekiti wa chama cha walimu cha KUPPET amesisitiza kuwepo haja ya walimu hao kuhamishwa kutoka eneo hilo, ili kuwaepusha na hatari ya kushambuliwa.

Kuhusu hatma ya wanafunzi wanaosomea kaskazini mwa nchi milemba amependekeza walimu walio wenyeji wa maeoneo hayo waendelee kuhudumu eneo hilo wakati mikakati zaidi ikiwekwa kushghulikia upungufu uliopo.

 

Show More

Related Articles