HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mama aliyetelekezwa akijifungua Bungoma 2013 afidiwa na mahakama

Mahakama ya Bungoma imeamuru hospitali ya kaunti ya Bungoma kulipa fidia ya shillingi milioni mbili unusu kwa Josephine Oundo, mama aliyeteswa na kutelekezwa na wauguzi, na kulazimika kujifungua mtoto sakafuni miaka mitano iliyopita.
Akitoa uamuzi huo, jaji Abida Ali Aroni amesema kuwa hospitali hiyo,serikali ya kaunti ya Bungoma pamoja na waziri wa afya wa kaunti hiyo walikiuka haki za mama huyo kisheria na hivyo basi sharti afidiwe kitita hicho.

Show More

Related Articles