HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Bunge limemfanyia ukaguzi Jaji Paul Kihara Kariuki kwa wadhifa wa jaji mkuu

Mwanasheria mkuu mteule Paul Kihara Kariuki ameahidi kujizatiti kadri ya uwezo wake kuhakikisha matawi yote matatu ya uongozi ambayo ni idara ya mahakama, bunge na afisi ya rais yameshirikiana na kuheshimiana.
Akizungumza alipofika mbele ya kamati ya bunge kuhusu uteuzi kwa ukaguzi wake, jaji Kariuki amesema malumbano kati ya matawi haya muhimu yanahujumu utendakazi serikalini.
Kariuki atajua hatma yake baada ya bunge la kitaifa kujadili ripoti ya kamati hii ya uteuzi, ambayo itaandikwa siku ya jumatatu.

Show More

Related Articles