HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Hoja ya kumtaka Sicily Kaiuki aondolewe imeondolewa bungeni

Waziri wa afya Sicily Kariuki amepata afueni baada ya mbunge wa Mandera kaskazini Bashir Abdullahi kuondoa hoja aliyowasilisha bungeni kutaka waziri huyo kubanduliwa.
Kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale anasema uamuzi huo umeafikiwa kuruhusu lalama zilizoibuliwa na wabunge kutatuliwa na uongozi wa Jubilee.
Huku akikana kushawishiwa kuondoa hoja hiyo, Abdullahi amesema alichukua hatua hiyo baada ya mashauriano ya kina na wakuu wa Jubilee.

Show More

Related Articles