HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mkutano wa vinara na maseneta wa NASA wakosa kuzaa matunda

Kinara wa Nasa Raila Odinga amesema kuwa mkutano wa pamoja wa vigogo wa muungano huo umeafiki kuwa maseneta wa mrengo huo wapewe muda wa majuma mawili kutafakari iwapo watamuidhinisha seneta wa Siaya James Orengo kuwa kiongozi wa wachache kwenye bunge la seneti au iwapo watabadili nia na kumrejesha seneta wa bungoma Moses Wetang’ula kwenye wadhifa huo.
Anders Ihachi amezamia matukio ya mkutano wa leo na anaarifu zaidi kuhusu kile ambacho huenda ndio mwisho wa ndoa kati Wetangula na maseneta waliomchongea.

Show More

Related Articles