HabariMilele FmSwahili

Serikali ya kaunti ya Nairobi yaanza kuondoa tuk tuk katikati mwa mji

Serikali ya kaunti ya Nairobi imeanza kuzindoa tuktuk katikati mwa mji. Maafisa wanaoendesha oparesheni hiyo wanasema lengo ni kupunguza msongamano wa watu na magari unaoshuhudiwa mjini. Taarifa kutoka afisi ya gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko inasema hakuna tuktuk itaruhusiwa kuingia mjini wahudumu wakitakiw kuwa na maeneo mbadala nje ya mji.

Show More

Related Articles