HabariMilele FmSwahili

Matiang’i na Omamo wahojiwa na kamati ya bunge kuhusu usalama

Waziri wa usalama Dr Fred Matiang’ na mwenzake wa ulinzi Rachael Omamo wakati huu wanahojiwa na kamati ya bunge kuhusu usalama. Mawaziri hao wanatoa maoni yao kuhusu mswada wa walinzi wa bahari hindi wa mwaka 2017. Aidha wanatarajiwa kuzungumzia masuala tofauti kuhusu usalama wa taifa huku waziri Matiang’ akitarajiwa kuelezea msimamo wa serikali kuhusu madai ya kupunguzwa mishahara ya polisi pamoja na wale walioumia wakiwa kazini kutakiwa kulipa ushuru.

Show More

Related Articles