People Daily

Vinara wa NASA Raila, Kalonzo na Wetangula wakutana na maseneta wa NASA

Vinara wa NASA Raila Odinga,Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula wakati huu wanaongoza mkutano wa maseneta wa NASA. Mkutano huo unalenga kuamua hatma ya seneta Wetangula iwapo ataendelea kuhudumu kama kiongozi wa wachache bungeni au seneta james orengo atadhibitishwa baada ya kuteuliwa siku 2 zilizopita. Inadaiwa,mkutano huo ambapo umeendelea kwa saa moja umejawa na majibizano baina ya maseneta wanaohudhuria na vinara hao watatu huku maseneta hao wakishikilia hawatabadili nia yao kumbandua Wetangula na mahala pake kujazwa na seneta Orengo.

Show More

Related Articles