HabariPilipili FmPilipili FM News

Serikali Yapinga Madai Yakufunga Baa Zote Nchini.

Serikali imekanusha madai ya kuagiza kufungwa kwa baa zote nchini katika jitihada za kukabili biashara ya pombe haramu.

Katika taarifa msemaji wa wizara ya usalama Mwenda Njoka ametaja kuwa uvumi madai kuwa waziri Fred Matiangi aliagiza kufungwa baa zote wakati wa ziara yake kaunti ya Kiambu.

Njoka amesisitiza kujitolea kwa serikali kuwalinda wauzaji vileo wanaozingatia sheria dhidi ya kuhujumiwa.

Show More

Related Articles