HabariPilipili FmPilipili FM News

KHN Yahusishwa Tena Na Kosa La Upasuaji Kimakosa.

Hospitali kuu ya Kenyatta KNH inasema inaendeleza uchunguzi kuhusiana na madai ya upasuaji mwengine uliofanywa kwa makosa katika hospitali hiyo.

Haya ni baada ya Susan Nekesa kudai kuwa madaktari wa hospitali hiyo walimkata sehemu ya utumbo wake mdogo wakati wakimfanyia upasuaji wa mazazi ambapo alijifungua mapacha.

Katika taarifa, kaimu afisaa mkuu mtendaji wa hospitali hiyo Thomas Mutie amesema usimamizi wa hospitali hiyo umelichukuliw asuala hilo kwa makini na umejitolea kuweka mikakati ya kuzuia visa kama hivyo kutokea tena.

Show More

Related Articles