HabariMilele FmSwahili

Misa ya wafu ya marehemu jaji wa mahakama kuu Joseph Onguto kufanyika leo

Misa ya jaji marehemu jaji wa mahakama kuu Joseph Onguto itaandaliwa katika kanisa la Consolata Shrine hapa jijini Nairobi. Jaji huyo aliyefariki wiki mbili zilizopita ameratibiwa kuzikwa wikendi hii kaunti ya Siaya. Aidha majaji wa mahakama kuu pia wanatarajiwa kuchukua mapimziko msimu huu wa pasaka. Majajai hao wameratibiwa kurejea kazini Aprili 3

Show More

Related Articles