HabariMilele FmSwahili

Mbunge wa Kieni awataka wanaoshinikiza kubanduliwa waziri Kariuki kuondoa hoja hiyo bungeni

Mbunge wa Kieni Kanini Kega sasa anawataka wabunge wanaoshinikiza kubanduliwa waziri wa afya Sicily Kariuki kuondoa hoja yao bungeni. Kega ametishia kuwafichua wanasiasa wenye ushawishi anaodai wamekuwa wakichochea kuwasilishwa hoja hiyo. Amedai baadhi ya wanasiasa hao ambao ni viongozi kutoka kaskazini mwa nchi wanaongoza harakati hizo kwa sababu za kibinafsi.

Show More

Related Articles