BurudaniMilele FmSwahili

Raila kukutana na maseneta wa NASA leo

Kiongozi wa NASA Raila Odinga anatarajiwa kuongoza mkao wa maseneta wa NASA wakati wowote , katika juhudi za kutafuta mwafaka baad ya kutemwa kwa seneta wa bungoma Moses Wetangula kama kiongozi wa wachache katika bunge hilo. Mkao huo unatarajiwa kutumiwa kuangazia baadhi ya masuala yaliyochochea kutemwa kwa Wetangula na nafasi hiyo kuchukuliwa na seneta James Orengo.

Show More

Related Articles