HabariMilele FmSwahili

Shirika la ELOG lahimiza mazungumzo ya kitaifa baada ya kipindi kirefu cha siasa

Shirika la waangalizi uchaguzi ELOG limehimiza mazungumzo ya kitaifa baada ya kipindi kirefu cha siasa. Shirika hilo linasema licha ya rais Kenyatta na kiongozi wa NASA Raila Odinga kuafikiana juhudi zaidi zinahitajika kuafikia uponyaji wa kitaifa. Akitoa taarifa ya ELOG kuhusu uchaguzi mshirikishi wa kitaifa wa shirika hilio Mule Musau pia ametaka kuwekwa mikakati ya kuheshimiwa uhuru wa idara na taasisi huru nchini.

Show More

Related Articles