HabariMilele FmSwahili

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Kisii watishia kugoma

Wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Kisii sasa wanatishia kugoma iwapo serikali itakosa kushughulia wahadhiri nchini wanaogoma. Wametoa makataa ya siku 7 kwa serikali kuketi na wahadhiri na kupata mustakabali kuhusu mkataba wa mwaka 2017-2021 wanaotaka utimizwe. Wanatishia kuwachochea wanafunzi kutoka vyuo vingine vya umma iwapo hilo halishughulikiwa

Show More

Related Articles