HabariPilipili FmPilipili FM News

Serikali Za Kaunti Kupokea Fedha Za Maendeleo.

Serikali za kaunti kote nchini zimehakikishiwa kuwa zitapata mgao wao wa fedha za maendelea kutoka kwa serikali kuu.

Akionge mjini Mombasa waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa ametoa hakikisho hilo akisema tayari  amefanya kikao na waziri wa fedha Henry Rotich na kukubaliana kusambaza fedha hizo haraka iwezekanavyo kwa kaunti zote.

Wamalwa amesema msukosuko wa kisiasa mwaka uliyopita ndio ulichangia kucheleweshwa kusambazwa kwa fedha hizo kwa kaunti husika

Show More

Related Articles