HabariMilele FmSwahili

Jengo la orofa 4 labomolewa mtaani Zimmerman jijini Nairobi

Jengo la orofa nne limebomolewa katika mtaa wa Zimmerman hapa jijini Nairobi. Maafisa wa idara ya ukaguzi majengo nchini wamesema jengo hilo ambalo lilikuwa linaendelea kujengwa halikuwa salama. Hii ni baada ya kudhihirisha nyufa.

Show More

Related Articles