HabariMilele FmSwahili

Gavana Waititu apiga marufuku uuzaji mapipa kaunti ya Kiambu

Gavana wa Kiambu Ferdinard Waititu amepiga marufuku uuzaji mapipa katika kaunti hiyo hatua anayosema itadhibiti swala la uuzaji pombe haramu. Kulingana na Waititu wagemaji pombe haramu za kangara na changaa wameendeleza biashara hiyo kutokana na uwezo wa kupata kwa urahisi mapipa hayo yanayouzwa bei nafuu. Amesema serikali yake haitalegeza kamba katika kudhibiti pombe hiyo anayosema imeathiri pakubwa maisha ya wenyeji

Show More

Related Articles