HabariMilele FmSwahili

Kenya kuungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya misitu leo

Kenya inaungana leo na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya misitu. Maadhimisho ya mwaka huu yanayongozwa na kauli mbiu misitu kwa ustawi wa miji. Naibu rais William Ruto pamoja na waziri wa mazingira Keriako Tobiko wataongoza hafla ya kitaifa ya upanzi wa miti katika makao makuu ya shirika la misitu hapa Nairobi.
Kwengineko serikali ya kaunti ya Laikipia imezindua mpango wa upanzi wa miche milioni 5.6 ya miti msimu huu wa mvua. Afisa wa misitu kaunti hiyo hatua hiyo ni kati ya juhudi za serikali kuokoa misitu nchini hukua akiwaonya wakazi dhidi ya kukiuka marufuku ya ukataji miti misituni.

Show More

Related Articles