HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa : Fikirini Katana anajipa riziki kwa kufinyanga vyungu vya kupanda maua

Katika eneo la mnandani kaunti ya Kilifi, kutana na jamaa kwa jina Fikirini Katana ambaye hutumia ustadi wake wa kufinyanga vyungu vya kupanda maua na kujipa riziki.
Ni kazi ambayo ameifanya kwa muda sasa, na kujipa jina.
Mwanahabari wetu Kimani Githuku, amerejea kutoka Kilifi na kutuandalia taarifa hiyo kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa.

Show More

Related Articles